Tito 1:16
Tito 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu kama hao hujidai kwamba wanamjua Mungu, lakini kwa matendo yao humkana. Ni watu wa kuchukiza mno na wakaidi, hawafai kwa jambo lolote jema.
Shirikisha
Soma Tito 1Tito 1:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wanakiri ya kwamba wanamjua Mungu, bali kwa matendo yao wanamkana; ni wenye machukizo, waasi, wala hawafai kwa tendo lolote jema.
Shirikisha
Soma Tito 1