Ruthu 1:1
Ruthu 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo zamani, wakati waamuzi walipokuwa wanatawala Israeli, palitokea njaa nchini humo. Mtu mmoja kutoka Bethlehemu katika Yuda pamoja na mkewe na watoto wao wa kiume wawili walikwenda kuishi kwa muda nchini Moabu ili kuishi kama wageni.
Shirikisha
Soma Ruthu 1Ruthu 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hapo zamani Waamuzi walipokuwa wanatawala, njaa ilitokea katika nchi. Mtu mmoja wa Bethlehemu ya Yuda, akaondoka akaenda kukaa katika nchi ya Moabu, yeye na mkewe na wanawe wawili.
Shirikisha
Soma Ruthu 1