Waroma 9:23
Waroma 9:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Alitaka pia kudhihirisha wingi wa utukufu wake ambao alitumiminia sisi tulio lengo la huruma yake; sisi ambao alikwisha kututayarisha kuupokea utukufu wake.
Shirikisha
Soma Waroma 9Waroma 9:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena, ili audhihirishe wingi wa utukufu wake katika vile vyombo vya rehema, alivyovitengeneza tangu zamani vipate utukufu
Shirikisha
Soma Waroma 9