Waroma 9:20
Waroma 9:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, ewe binadamu, u nani hata uthubutu kumhoji Mungu? Je, chungu chaweza kumwuliza mfinyanzi wake: “Kwa nini umenitengeneza namna hii?”
Shirikisha
Soma Waroma 9Waroma 9:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
La! Sivyo, Ee binadamu; wewe u nani umjibuye Mungu? Je! Kitu kilichoumbwa kimwambie yeye aliyekiumba, Kwa nini umeniumba hivi?
Shirikisha
Soma Waroma 9