Waroma 9:1
Waroma 9:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Nasema ukweli tupu; nimeungana na Kristo nami sisemi uongo. Dhamiri yangu ikiongozwa na Roho Mtakatifu inanithibitishia jambo hili pia.
Shirikisha
Soma Waroma 9Waroma 9:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nasema kweli katika Kristo, sisemi uongo, dhamiri yangu ikinishuhudia katika Roho Mtakatifu
Shirikisha
Soma Waroma 9