Waroma 6:20-21
Waroma 6:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Mlipokuwa watumwa wa dhambi mlikuwa huru mbali na uadilifu. Sasa, mlipata faida gani siku zile kutokana na mambo yale ambayo mnayaonea aibu sasa? Maana, matokeo ya mambo haya ni kifo!
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa huru mbali na haki. Ni faida gani basi mliyopata siku zile kwa mambo hayo mnayoyatahayarikia sasa? Kwa maana mwisho wa mambo hayo ni mauti.
Shirikisha
Soma Waroma 6