Waroma 4:24
Waroma 4:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Jambo hili linatuhusu sisi pia ambao tunamwamini Mungu aliyemfufua Yesu, Bwana wetu, kutoka kwa wafu.
Shirikisha
Soma Waroma 4Waroma 4:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali na kwa ajili yetu sisi mtakaohesabiwa vivyo hivyo, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Yesu Bwana wetu katika wafu
Shirikisha
Soma Waroma 4