Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 16:3 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 16:3 BHN (Biblia Habari Njema)

Salamu zangu ziwafikie Priska na Akula, wafanyakazi wenzangu katika utumishi wa Kristo Yesu.

Shirikisha
Waroma 16 BHN

Waroma 16:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Nisalimieni Priska na Akila, watenda kazi pamoja nami katika Kristo Yesu

Shirikisha
Waroma 16 SUV

Waroma 16:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Nisalimieni Priska na Akila, watenda kazi pamoja nami katika Kristo Yesu

Shirikisha
Waroma 16 SRUV

Waroma 16:3 NEN (Neno)

Wasalimuni Prisila na Akila, watumishi wenzangu katika Kristo Yesu.

Shirikisha
Waroma 16 NEN