Rukia hadi maudhui

Waroma 16:27 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 16:27 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwake Mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe utukufu kwa njia ya Yesu Kristo, milele na milele! Amina.

Waroma 16 BHN

Waroma 16:27 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ndiye Mungu mwenye hekima peke yake. Utukufu una yeye kwa Yesu Kristo, milele na milele. Amina.

Waroma 16 SUV

Waroma 16:27 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndiye Mungu mwenye hekima peke yake. Utukufu una yeye kwa Yesu Kristo, milele na milele. Amina.

Waroma 16 SRUV

Waroma 16:27 NEN (Neno)

ndiye Mungu, aliye pekee mwenye hekima, ambaye kupitia kwa Yesu Kristo utukufu ni wake milele na milele! Amen.

Waroma 16 NEN