Waroma 14:3
Waroma 14:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu ambaye hula kila kitu asimdharau yule ambaye hawezi kula kila kitu; naye ambaye hula tu mboga za majani asimhukumu anayekula kila kitu, maana Mungu amemkubali.
Shirikisha
Soma Waroma 14Waroma 14:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye alaye asimdharau huyo asiyekula, wala yeye asiyekula asimhukumu huyo alaye; kwa maana Mungu amemkubali.
Shirikisha
Soma Waroma 14