Waroma 14:14
Waroma 14:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika kuungana na Bwana Yesu, nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi kwa asili yake; lakini, mtu akidhani kwamba kitu fulani ni najisi, basi, kwake huwa najisi.
Shirikisha
Soma Waroma 14Waroma 14:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi.
Shirikisha
Soma Waroma 14