Waroma 14:10,12
Waroma 14:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa nini basi, wewe wamhukumu ndugu yako? Nawe, kwa nini wamdharau ndugu yako? Sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 14Waroma 14:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, kila mmoja wetu atatoa hoja juu yake mwenyewe mbele ya Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 14Waroma 14:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini wewe je! Mbona wamhukumu ndugu yako? Au wewe je! Mbona wamdharau ndugu yako? Kwa maana sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 14Warumi 14:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 14Waroma 14:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini wewe je! Mbona wamhukumu ndugu yako? Au wewe je! Mbona wamdharau ndugu yako? Kwa maana sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 14Rum 14:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 14