Waroma 12:6
Waroma 12:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, tunavyo vipaji mbalimbali kadiri ya neema tuliyopewa. Mwenye kipaji cha unabii na akitumie kadiri ya imani yake.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi kwa kuwa tuna karama zilizo mbalimbali, kwa kadiri ya neema tuliyopewa; ikiwa ni unabii, tutoe unabii kwa kadiri ya imani
Shirikisha
Soma Waroma 12