Waroma 12:14
Waroma 12:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Watakieni baraka wote wanaowadhulumu nyinyi; naam, watakieni baraka na wala msiwalaani.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani.
Shirikisha
Soma Waroma 12