Waroma 11:7
Waroma 11:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa, je? Watu wa Israeli hawakukipata kile walichokuwa wanakitafuta; lakini wote walioteuliwa walikipata. Wengine walipumbazwa
Shirikisha
Soma Waroma 11Waroma 11:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Imekuwaje basi? Kitu kile ambacho Israeli alikuwa akikitafuta hakukipata; lakini wale waliochaguliwa walikipata, na wengine walitiwa ugumu.
Shirikisha
Soma Waroma 11