Waroma 11:6
Waroma 11:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Uteuzi wake unatokana na neema yake, na si kwa sababu ya matendo yao. Maana, kama uteuzi wake ungetegemea matendo ya watu, neema yake haingekuwa neema tena.
Shirikisha
Soma Waroma 11Waroma 11:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ikiwa ni kwa neema, haiwi kwa matendo tena, au hapo neema isingekuwa neema.
Shirikisha
Soma Waroma 11