Waroma 11:22
Waroma 11:22 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Angalia basi wema na ukali wa Mungu: Ukali kwa wale walioanguka, bali wema wa Mungu kwako wewe, kama utadumu katika wema wake. La sivyo, nawe utakatiliwa mbali.
Shirikisha
Soma Waroma 11Waroma 11:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Ona, basi, jinsi Mungu alivyo mwema na mkali. Yeye ni mkali kwa wale walioanguka, na ni mwema kwako wewe ikiwa utaendelea katika wema wake; la sivyo, nawe pia utakatwa.
Shirikisha
Soma Waroma 11Waroma 11:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, basi, wema na ukali wa Mungu; kwa wale walioanguka, ukali, bali kwako wewe wema wa Mungu, ukikaa katika wema huo; kama sivyo, wewe nawe utakatiliwa mbali.
Shirikisha
Soma Waroma 11