Waroma 11:21
Waroma 11:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana, ikiwa Mungu hakuwahurumia Wayahudi ambao ni kama matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe?
Shirikisha
Soma Waroma 11Waroma 11:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana ikiwa Mungu hakuyaachia matawi ya asili, wala hatakuachia wewe.
Shirikisha
Soma Waroma 11