Waroma 11:17
Waroma 11:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, baadhi ya matawi ya mzeituni bustanini yalikatwa, na mahali pake tawi la mzeituni mwitu likapandikizwa. Nyinyi watu wa mataifa mengine ndio hilo tawi la mzeituni mwitu; na sasa mnashiriki nguvu na utomvu wa mzeituni bustanini.
Shirikisha
Soma Waroma 11Waroma 11:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini iwapo matawi mengine yamekatwa, na wewe mzeituni mwitu ulipandikizwa kati yao, ukawa mshirika wa shina la mzeituni na unono wake
Shirikisha
Soma Waroma 11