Ufunuo 6:3
Ufunuo 6:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa pili. Nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, “Njoo!”
Shirikisha
Soma Ufunuo 6Ufunuo 6:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na alipoufungua mhuri wa pili, nikamsikia yule mwenye uhai wa pili akisema, Njoo!
Shirikisha
Soma Ufunuo 6