Ufunuo 16:12
Ufunuo 16:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na huyo wa sita akakimimina kitasa chake juu ya mto ule mkubwa Frati; maji yake yakakauka, ili njia itengenezwe kwa wafalme watokao katika maawio ya jua.
Ufunuo 16:12 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Malaika wa sita akamimina bakuli lake kwenye mto mkubwa Frati, maji yake yakakauka ili kutayarisha njia kwa ajili ya wafalme kutoka Mashariki.
Ufunuo 16:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na huyo wa sita akalimimina bakuli lake juu ya mto ule mkubwa Frati; maji yake yakakauka, ili njia itengenezwe kwa wafalme watokao katika maawio ya jua.
Ufunuo 16:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, malaika wa sita akamwaga bakuli lake juu ya mto mkubwa uitwao Eufrate. Maji yake yakakauka, na hivyo njia ikawekwa kwa ajili ya wafalme kutoka mashariki.