Ufunuo 16:1
Ufunuo 16:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha nikasikia sauti kubwa kutoka hekaluni ikiwaambia wale malaika saba, “Nendeni mkamwage mabakuli hayo saba ya ghadhabu ya Mungu duniani.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 16Ufunuo 16:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikasikia sauti kuu kutoka hekaluni, ikiwaambia wale malaika saba, Nendeni mkayamwage yale mabakuli saba ya ghadhabu ya Mungu juu ya nchi.
Shirikisha
Soma Ufunuo 16