Zaburi 75:2-3
Zaburi 75:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu asema: “Mimi nimeweka wakati maalumu! Wakati huo nitahukumu kwa haki. Nchi ikitetemeka na vyote vilivyomo, mimi ndiye ninayeitegemeza misingi yake.
Shirikisha
Soma Zaburi 75Zaburi 75:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitakapoufikia wakati ulioamriwa, Mimi nitahukumu hukumu za haki. Ingawa dunia na wote wakaao humo wataharuki, Mimi mwenyewe nimezisimamisha nguzo zake.
Shirikisha
Soma Zaburi 75