Zaburi 73:23-24
Zaburi 73:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo niko daima nawe, ee Mungu! Wanishika mkono na kunitegemeza. Wewe waniongoza kwa mashauri yako; mwishowe utanipokea kwenye utukufu.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Walakini mimi ni pamoja nawe daima, Umenishika mkono wa kulia. Utaniongoza kwa shauri lako, Na baadaye utanikaribisha kwa utukufu.
Shirikisha
Soma Zaburi 73