Zaburi 73:10-12
Zaburi 73:10-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema. Wanasema: “Mungu hawezi kujua! Mungu Mkuu hataweza kugundua!” Hivi ndivyo watu waovu walivyo; wana kila kitu na wanapata mali zaidi.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:10-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo watu wake hugeuka huko, Na maji yaliyojaa humezwa nao. Nao husema, Mungu ajuaje? Yako maarifa kwake aliye juu? Fahamu, ndivyo walivyo wasio haki, Na kwa kustarehe sikuzote wamepata mali nyingi.
Shirikisha
Soma Zaburi 73