Zaburi 73:1-3
Zaburi 73:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakika, Mungu ni mwema kwa watu wanyofu; ni mwema kwa walio safi moyoni. Karibu sana ningejikwaa, kidogo tu ningeteleza; maana niliwaonea wivu wenye kiburi, nilipoona wakosefu wakifanikiwa.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, Kwa hao walio safi mioyo yao. Nami miguu yangu ilikuwa karibu kupotoka, Hatua zangu zilikuwa karibu kuteleza. Maana niliwaonea wivu wenye kujivuna, Nilipoiona hali ya amani ya wasio haki.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:1-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, Kwa hao walio safi mioyo yao. Nami miguu yangu ilikuwa karibu na kupotoka, Hatua zangu zilikuwa karibu na kuteleza. Maana naliwaonea wivu wenye kujivuna, Nilipoiona hali ya amani ya wasio haki.
Shirikisha
Soma Zaburi 73