Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 65:1-2 - Compare All Versions

Zaburi 65:1-2 BHN (Biblia Habari Njema)

Wastahili sifa, ee Mungu, huko Siyoni, watu watakutimizia wewe ahadi zao, maana wewe wajibu sala zetu. Binadamu wote watakujia wewe.

Shirikisha
Zaburi 65 BHN

Zaburi 65:1-2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ee Mungu, sifa zakulaiki katika Sayuni, Na kwako Wewe itaondolewa nadhiri. Wewe usikiaye kuomba, Wote wenye mwili watakujia.

Shirikisha
Zaburi 65 SUV

Zaburi 65:1-2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ee Mungu, wastahili sifa katika Sayuni, Na kwako Wewe itaondolewa nadhiri. Wewe usikiaye maombi, Wote wenye mwili watakujia.

Shirikisha
Zaburi 65 SRUV

Zaburi 65:1-2 NEN (Neno)

Ee Mungu, sifa zakungojea katika Sayuni; kwako wewe nadhiri zetu zitatimizwa. Ewe usikiaye maombi, watu wote watakuja kwako wewe.

Shirikisha
Zaburi 65 NEN