Zaburi 40:14-15
Zaburi 40:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanaonuia kuniangamiza, na waaibike na kufedheheka! Hao wanaotamani niumie, na warudi nyuma na kuaibika! Hao wanaonisimanga, na wapumbazike kwa kushindwa kwao!
Shirikisha
Soma Zaburi 40Zaburi 40:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waaibike na wafedheheke, Wote wanaotaka kuniua. Warudishwe nyuma, watahayarishwe, Wapendezwao na shari yangu. Wafadhaike kwa aibu yao, Wanaoniambia Ewe! Ewe!
Shirikisha
Soma Zaburi 40