Zaburi 37:3-4
Zaburi 37:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtumainie Mwenyezi-Mungu na kutenda mema, upate kuishi katika nchi na kuwa salama. Uitafute furaha yako kwa Mwenyezi-Mungu, naye atakujalia unayotamani moyoni.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu. Nawe ujifurahishe katika BWANA, Naye atakutimizia haja za moyo wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu. Nawe utajifurahisha kwa BWANA, Naye atakupa haja za moyo wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 37