Zaburi 37:14-15
Zaburi 37:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Waovu huchomoa panga na kuvuta pinde zao, wapate kuwaua maskini na fukara; wawachinje watu waishio kwa unyofu. Lakini panga zao zitawapenya wao wenyewe, na pinde zao zitavunjwavunjwa.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wasio haki wamefuta upanga na kupinda uta, Wamwangushe chini maskini na mhitaji, Na kuwaua wenye mwenendo wa unyofu. Upanga wao utaingia mioyoni mwao wenyewe, Na nyuta zao zitavunjika.
Shirikisha
Soma Zaburi 37