Zaburi 32:1-2 - Compare All Versions
Zaburi 32:1-2 BHN (Biblia Habari Njema)
Heri yake mtu aliyesamehewa kosa lake, mtu ambaye dhambi yake imeondolewa kabisa. Heri mtu ambaye Mwenyezi-Mungu hamwekei hatia, mtu ambaye hana hila moyoni mwake.
Shirikisha
Zaburi 32 BHNZaburi 32:1-2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri aliyesamehewa dhambi, Na kusitiriwa makosa yake. Heri BWANA asiyemhesabia upotovu, Ambaye rohoni mwake hamna hila.
Shirikisha
Zaburi 32 SUVZaburi 32:1-2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Heri aliyesamehewa dhambi, Na kuondolewa makosa yake. Heri ambaye BWANA hamhesabii hatia, Na ambaye rohoni mwake hamna hila.
Shirikisha
Zaburi 32 SRUVZaburi 32:1-2 NEN (Neno)
Heri mtu aliyesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimefunikwa. Heri mtu yule ambaye BWANA hamhesabii dhambi, na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu.
Shirikisha
Zaburi 32 NEN