Zaburi 30:8-9
Zaburi 30:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilikulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; naam niliomba dua kwako ee Mwenyezi-Mungu: “Je, utapata faida gani nikifa na kushuka hadi kwa wafu? Je, mavumbi ya wafu yanaweza kukusifu? Je, yanaweza kusimulia uaminifu wako?
Shirikisha
Soma Zaburi 30Zaburi 30:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, nilikulilia Wewe, Naam, kwa BWANA niliomba dua. Mna faida gani katika damu yangu Nishukapo Shimoni? Mavumbi yatakusifu? Yatautangaza uaminifu wako?
Shirikisha
Soma Zaburi 30