Zaburi 30:5
Zaburi 30:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Hasira yake hudumu kitambo kidogo, wema wake hudumu milele. Kilio chaweza kuwapo hata usiku, lakini asubuhi huja furaha.
Shirikisha
Soma Zaburi 30Zaburi 30:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana ghadhabu zake ni za muda mfupi tu; Radhi yake ni ya milele. Kilio huweza kuwapo usiku, Lakini furaha huja asubuhi.
Shirikisha
Soma Zaburi 30Zaburi 30:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo, Katika radhi yake mna uhai. Huenda kilio huja kukaa usiku, Lakini asubuhi huwa furaha.
Shirikisha
Soma Zaburi 30