Zaburi 30:2-3
Zaburi 30:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nilikulilia msaada, nawe ukaniponya. Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uhai, umenitoa miongoni mwa waendao kuzimu.
Shirikisha
Soma Zaburi 30Zaburi 30:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, Mungu wangu, Nilikulilia ukaniponya. Umeniinua nafsi yangu, Ee BWANA, kutoka kuzimu. Umenihuisha na kunitoa Miongoni mwao washukao Shimoni.
Shirikisha
Soma Zaburi 30