Zaburi 29:1
Zaburi 29:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu.
Shirikisha
Soma Zaburi 29Zaburi 29:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mpeni BWANA, enyi wana wa Mungu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu
Shirikisha
Soma Zaburi 29