Zaburi 24:8-9
Zaburi 24:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni nani huyo Mfalme mtukufu? Ni Mwenyezi-Mungu, mwenye nguvu na uwezo; Mwenyezi-Mungu, mwenye uwezo vitani. Fungukeni enyi malango, fungukeni enyi milango ya kale, ili Mfalme mtukufu aingie.
Shirikisha
Soma Zaburi 24Zaburi 24:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani Mfalme wa utukufu? BWANA mwenye nguvu, hodari, BWANA hodari wa vita. Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia.
Shirikisha
Soma Zaburi 24