Zaburi 19:7
Zaburi 19:7 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Sheria ya BWANA ni kamilifu, ikihuisha nafsi. Shuhuda za BWANA ni za kuaminika, zikimpa mjinga hekima.
Shirikisha
Soma Zaburi 19Zaburi 19:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Sheria ya Mwenyezi-Mungu ni kamilifu, humpa mtu uhai mpya; masharti ya Mwenyezi-Mungu ni thabiti, huwapa hekima wasio na makuu.
Shirikisha
Soma Zaburi 19Zaburi 19:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia hekima mtu asiye nayo.
Shirikisha
Soma Zaburi 19Zaburi 19:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia mjinga hekima.
Shirikisha
Soma Zaburi 19