Zaburi 19:2-3
Zaburi 19:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mchana waupasha habari mchana ufuatao, usiku waufahamisha usiku ufuatao. Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika
Shirikisha
Soma Zaburi 19Zaburi 19:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mchana husemezana na mchana, Usiku hutolea usiku maarifa. Hakuna usemi wala maneno, Sauti yao haisikilikani.
Shirikisha
Soma Zaburi 19Zaburi 19:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mchana husemezana na mchana, Usiku hutolea usiku maarifa. Hakuna lugha wala maneno, Sauti yao haisikilikani.
Shirikisha
Soma Zaburi 19