Zaburi 19:1-3
Zaburi 19:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake. Mchana waupasha habari mchana ufuatao, usiku waufahamisha usiku ufuatao. Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika
Shirikisha
Soma Zaburi 19Zaburi 19:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitangaza kazi ya mikono yake. Mchana husemezana na mchana, Usiku hutolea usiku maarifa. Hakuna usemi wala maneno, Sauti yao haisikilikani.
Shirikisha
Soma Zaburi 19Zaburi 19:1-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitangaza kazi ya mikono yake. Mchana husemezana na mchana, Usiku hutolea usiku maarifa. Hakuna lugha wala maneno, Sauti yao haisikilikani.
Shirikisha
Soma Zaburi 19