Zaburi 18:3-4
Zaburi 18:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Namwita Mwenyezi-Mungu astahiliye sifa anisaidie, nami naokolewa kutoka kwa maadui zangu. Kamba za kifo zilinizingira, mawimbi ya maangamizi yalinivamia
Shirikisha
Soma Zaburi 18Zaburi 18:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Namwita BWANA astahiliye kusifiwa, Hivyo nitaokoka na adui zangu. Kamba za mauti zilinizunguka, Mafuriko ya uovu yakanitia hofu.
Shirikisha
Soma Zaburi 18