Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 141:1-2 - Compare All Versions

Zaburi 141:1-2 BHN (Biblia Habari Njema)

Nakuita, ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia! Uisikilize sauti yangu wakati ninapokuita! Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali kama tambiko ya jioni.

Shirikisha
Zaburi 141 BHN

Zaburi 141:1-2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo. Sala yangu ipae mbele zako kama uvumba, Kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni.

Shirikisha
Zaburi 141 SRUV

Zaburi 141:1-2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo. Sala yangu ipae mbele zako kama uvumba, Kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni.

Shirikisha
Zaburi 141 SUV

Zaburi 141:1-2 NEN (Neno)

Ee BWANA, ninakuita, njoo kwangu hima. Sikia sauti yangu ninapokuita. Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba; kuinua mikono yangu juu na kuwe kama dhabihu ya jioni.

Shirikisha
Zaburi 141 NEN