Zaburi 128:3-4
Zaburi 128:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mkeo atakuwa kama mzabibu wa matunda mengi nyumbani mwako; watoto wako kama chipukizi za mzeituni kuzunguka meza yako. Naam, ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Zaburi 128Zaburi 128:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao, Katika nyumba yako. Wanao watakuwa kama miche ya mizeituni Wakiizunguka meza yako. Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye BWANA.
Shirikisha
Soma Zaburi 128