Zaburi 128:1-2
Zaburi 128:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri wote wamchao Mwenyezi-Mungu, wanaoishi kufuatana na amri zake. Utapata matunda ya jasho lako, utafurahi na kupata fanaka.
Shirikisha
Soma Zaburi 128Zaburi 128:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri kila mtu amchaye BWANA, Aendaye katika njia yake. Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema.
Shirikisha
Soma Zaburi 128