Zaburi 127:3-4
Zaburi 127:3-4 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Watoto ni urithi unaotoka kwa BWANA, uzao ni zawadi kutoka kwake. Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake.
Shirikisha
Soma Zaburi 127Zaburi 127:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Watoto ni riziki kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; watoto ni tuzo lake kwetu sisi. Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari.
Shirikisha
Soma Zaburi 127Zaburi 127:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, watoto ni urithi kutoka kwa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu. Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo watoto wa ujanani.
Shirikisha
Soma Zaburi 127