Zaburi 119:97-98
Zaburi 119:97-98 Biblia Habari Njema (BHN)
Naipenda sana sheria yako! Naitafakari mchana kutwa! Amri yako iko nami daima, yanipa hekima kuliko maadui zangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:97-98 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sheria yako naipenda mno ajabu, Ndiyo kutafakari kwangu mchana kutwa. Maagizo yako hunitia hekima kuliko adui zangu, Kwa maana ninayo sikuzote.
Shirikisha
Soma Zaburi 119