Zaburi 119:89-91
Zaburi 119:89-91 Biblia Habari Njema (BHN)
Neno lako, ee Mwenyezi-Mungu, ladumu milele; limethibitika juu mbinguni. Uaminifu wako wadumu vizazi vyote, umeiweka dunia mahali pake nayo yadumu. Kwa amri yako viumbe vyote vipo leo, maana vitu vyote ni watumishi wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:89-91 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, neno lako lasimama Imara mbinguni hata milele. Uaminifu wako upo kizazi baada ya kizazi, Umeiweka nchi, nayo imethibitika. Kwa hukumu zako vimesimama imara hata leo, Maana vitu vyote ni watumishi wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119