Zaburi 119:65-66
Zaburi 119:65-66 Biblia Habari Njema (BHN)
Umenitendea vema mimi mtumishi wako, kama ulivyoahidi, ee Mwenyezi-Mungu. Unifundishe akili na maarifa, maana nina imani sana na amri zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:65-66 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umemtendea mtumishi wako mema, Ee BWANA, sawasawa na neno lako. Unifundishe akili na maarifa, Maana nimeyaamini maagizo yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119