Zaburi 119:43
Zaburi 119:43 Biblia Habari Njema (BHN)
Unijalie kusema ukweli wako daima, maana tumaini langu liko katika maagizo yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiliondoe neno la kweli kinywani mwangu kamwe, Maana nimezingojea hukumu zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119