Zaburi 119:41-42
Zaburi 119:41-42 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Ee Mwenyezi Mungu, upendo wako usiokoma unijie, wokovu wako sawasawa na ahadi yako, ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki, kwa kuwa ninalitumainia neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:41-42 Biblia Habari Njema (BHN)
Fadhili zako zinijie, ee Mwenyezi-Mungu; uniokoe kama ulivyoahidi. Hapo nitaweza kuwajibu hao wanaonitukana, maana mimi nina imani sana na neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:41-42 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, fadhili zako zinifikie na mimi, Naam, wokovu wako kulingana na ahadi yako. Nami nitamjibu neno anilaumuye, Kwa maana nilitumainia neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119