Zaburi 119:36-37
Zaburi 119:36-37 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Ugeuze moyo wangu kuelekea sheria zako, na siyo kwenye mambo ya ubinafsi. Geuza macho yangu kutoka mambo yasiyofaa, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:36-37 Biblia Habari Njema (BHN)
Unipe ari ya kuzingatia maamuzi yako, na si kwa ajili ya kupata faida isiyofaa. Uniepushe, nisifuate mambo ya upuuzi; unioneshe njia yako, unipe uhai.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:36-37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Unielekeze moyo wangu katika shuhuda zako, Wala usiielekee tamaa. Unigeuze macho yangu nisitazame visivyofaa, Unihuishe katika njia yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119